Chakula, lishe na saratani - vidokezo muhimu

dc.date.accessioned2018-07-20T08:18:01Z
dc.date.available2018-07-20T08:18:01Z
dc.date.issued2010-07
dc.description.abstractSaratani (Cancer) ni ugonjwa unaotokana na seli za mwili zilizopoteza mfumo wake wa kugawanyika na hivyo hazipo katika hali yake ya kawaida. Seli hizo huweza kugawanyika bila mpangilio maalum na kuharibu mkusanyiko wa seli nyingine. Seli za saratani hutokea sehemu moja ya mwili na zinaweza kusambaa sehemu nyingine za mwili kupitia mfumo wa damu na limfu (lymph). Saratani inaweza kuwa ya kurithi au kusababishwa na hali ya mazingira ya vitu mbalimbali kama vile ulaji wa vyakula vyenye visababisha saratani (carcinogenic compounds), km. nyama iliyochomwa mpaka kuungua kidogo, ulaji usio bora, pombe, uvutaji sigara au mionzi hatari, aina ya madini kama “asbestos” na “lead”. Zipo pia baadhi ya saratani zinazosababishwa na virusi kama vile saratani ya shingo ya kizazi.en_US
dc.identifier.isbn978-9987-9017-6-0
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/257
dc.language.isootheren_US
dc.publisherCOUNSENUTHen_US
dc.relation.ispartofseriesInformation Series;No. 17
dc.subjectChakulaen_US
dc.subjectLisheen_US
dc.subjectSaratanien_US
dc.subjectMagonjwaen_US
dc.subjectAfyaen_US
dc.titleChakula, lishe na saratani - vidokezo muhimuen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Chakula-Lishe-na-Saratani_0.pdf
Size:
669.04 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections