Kilimo bora cha Zabibu
No Thumbnail Available
Date
2020-04-01
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
TARI
Abstract
Zabibu ni zao muhimu la biashara katika mkoa wa Dodoma. Zao hili likitunzwa vizuri kwa kufuata kanuni bora za kilimo, huweza kumpatia mkulima mavuno mengi na bora na kumuwezesha mkulima kupata kipato cha kutosha pamoja na kukuza uchumi wa nchi kwa ujumla.
Description
Keywords
Kilimo cha zabibu, aina za zabibu, matumizi ya zabibu, jinsi ya kukatia Mizabibu