Lishe bora za mifugo kutoka Yara

No Thumbnail Available

Date

2023

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

YARA

Abstract

Kipeperushi hiki kinaelezea lishe bora za mifugo kutoka YARA, kinaongelea kuhusu Protini ya Ng'ombe, mbuzi na Kondoo ambayo inaitwa FEED GRADE UREA, vile vile ili kuboresha Afya na Utagaji wa Mayai kwa kuku utatumia KYIMOFOS 21 na ili kuongeza ladha na ulaji wa chakula kwa mifugo yako utatumia kalori 3000 na VARA FEED GRADE SULPHUR kwa Mifugo lliyonona na Kipato Kikubwa.

Description

Kipeperushi

Keywords

Mifugo, Ng`ombe, Mbuzi, Kondoo, Kuku

Citation

Collections