Usimamizi endelevu wa ardhi ya kilimo

dc.contributor.authorWekesa, Amos
dc.contributor.authorJönsson, Madeleine
dc.date.accessioned2024-07-02T09:04:05Z
dc.date.available2024-07-02T09:04:05Z
dc.date.issued2015
dc.description.abstractMABADILIKO YA TABIA NCHI na hali ya hewa isiyotabilika kwa pamoja huchangia changamoto kubwa kwa wakulima wadogo wadogo katika eneo la Afrika Mashariki.Vi Agroforestry inafanya kazi na wakulima pamoja na asasi za wakulima kuongeza ufahamu wao wa mazingira, kuwasaidia wakulima kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi, kuongeza matumizi ya nishati mbadala/endelevu na pia kuzuia na kupunguza athari za majanga asili yanayosababishwa na mabadiliko ya tabia nchi.Usimamizi Endelevu wa Ardhi ya Kilimo (SALM) ni mbinu zinazotumiwa na wakulima katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi na kuongeza tija katika uzalishaji kwenye kanda mbalimbali za kilimo ikolojia. Mbinu hizi pia zinaweza kutumiwa katika maeneo ya mijini kwa mfano bustani za mbogamboga, mbinu zinazohusu ukulima, nishati mbadala na usimamizi wa maji na maji taka. Mwongozo huu umeweka mbinu mbalimbali ambazo mkulima anaweza kuzitumia kama hatua ya kweli katika kuongeza tija na faida hata kwa vizazi vijavyo hasa kutokana na ufahamu wa hali ya hewa na tabia ya nchi inayobadilika duniani kote na kuathiri uzalishaji wa tijaen_US
dc.identifier.citationhttps://viagroforestry.orgen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/884
dc.language.isootheren_US
dc.publisherVi Agroforestryen_US
dc.subjectKilimoen_US
dc.subjectArdhien_US
dc.subjectEndelevuen_US
dc.subjectUsimamizien_US
dc.titleUsimamizi endelevu wa ardhi ya kilimoen_US
dc.typeLearning Objecten_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
Usimamizi endelevu wa ardhi
Size:
10.66 MB
Format:
Unknown data format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: