Tekinolojia endelevu: Mafunzo kutoka Mbozi na Njombe

dc.date.accessioned2018-09-20T07:48:29Z
dc.date.available2018-09-20T07:48:29Z
dc.date.issued2003
dc.description.abstractChuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula (MAFS), pamoja na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway (NLH), kinatekeleza Mradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogo wadogo Tanzania. Lengo mojawapo katika mradi huu ni kuimarisha uhusiano kati ya Wakulima, Watafiti na Washauri wa Ugani. IIi kufikia lengo hili, mradi umepanga utaratibu wa kuwawezesha wakulima kutembeleana ndani ya kanda zao na kati ya kanda na kanda. Makala hii inawasilisha ripoti ya ziara iliyofanyika mwezi Agosti 2003. Ziara hii iliwashirikisha wakulima, wagani na watafiti kutoka Kanda ya Mashariki na kanda ya Nyanda za Juu Kusini ikijumuisha Manispaa ya Morogoro, wilaya za lringa na Mbarali. Wanaziara hawa waliwatembelea wakulima wa wilaya za Mbozi na Njombe ili kuona na kujifunza zaidi kuhusu teknolojia muhimu ambazo tayari wameazimia kuzitekeleza mara watakaporudi nyumbani kwao. Taarifa hii pia inapatikana katika lugha ya Kiingereza.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/270
dc.language.isootheren_US
dc.publisherTARP II Project - SUAen_US
dc.subjectTekinolojiaen_US
dc.subjectMafunzoen_US
dc.titleTekinolojia endelevu: Mafunzo kutoka Mbozi na Njombeen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
TEKNOLOJIA ENDELEVU.pdf
Size:
9.2 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: