Kilimo bora cha mbono(Jatropha

dc.contributor.authorwizara ya kilimo
dc.date.accessioned2023-11-30T07:43:56Z
dc.date.available2023-11-30T07:43:56Z
dc.date.issued2023-11-18
dc.description.abstractMmbono kwa kitaalam Jatropha curcas ni mti jamii ya nyonyo wenye mbegu zitoazo mafuta yenye sifa kama nyonyo.Huota kwenye maeneo ya nyanda kame na yenye upungufu wa rutuba. Mmea hauliwi na mifugo wala wanyama pori na kufanya mmea ufae kulimwa kwenye maeneo ya wafugaji huria. Mmea hutoa mbegu zenye mafuta ambayo hayaliwi bali hutengenezea sabuni, kuendesha mitambo, gesi kama nishati.Kutokana na faida nyingi kwa binadamu kiafya, kiuchumi na mazingira, mmea unaweza kuzalishwa kama zao. Mmea huu umetokea Marekani ya Kati na kusambazwa hadi Afrika Mashariki na Wareno.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/770
dc.language.isootheren_US
dc.publisherSokoine university of agricultureen_US
dc.subjectKilimoen_US
dc.subjectMbonoen_US
dc.subjectJatrophaen_US
dc.titleKilimo bora cha mbono(Jatrophaen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Kilimo_cha_Jatropha.pdf
Size:
227.56 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections