Kilimo bora cha bilinganya.
Loading...
Date
2023-03-21
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
SUA
Abstract
Bilinganya imo katika jamii ya mimea inayohusisha nyanya, pilipili, viazi mviringo na nyanya
mshumaa. Mboga hii ina viini lishe muhimu kama vile madini aina ya chokaa na chuma, Vitamini
A, B na C, wanga, protini na maji. Mboga hii hutumika kutengeneza supu au kama kiungo katika
vyakula mbalimbali.
Description
Keywords
Bilinganya, Kilimo bora