Zao la ndizi na faida zake

dc.contributor.authorShirika la chakula Duniani
dc.date.accessioned2024-02-23T07:57:57Z
dc.date.available2024-02-23T07:57:57Z
dc.date.issued2023-07-09
dc.descriptionJaridaen_US
dc.description.abstractNdizi ni mojawapo ya tunda linalopendwa zaidi duniani, likiwa limesheheni vitamini na madini.Ziko faida kadhaa za kiafya za ndizi ambazo ni muhimu kwa mlaji kula tunda hili. Faida hizi ni pamoja na Inasawazisha maji ya mwili "homoni": ndizi ina kiasi kikubwa cha potasiamu na vitamini B6 vitu vinavyokuza uzalishaji wa kiasi cha maji kinachohitajika. Kulingana na wataalamu wa masuala ya lishe, ndizi zina madini ya potassium kwa wingi, ambayo mwili wa binadamu unahitaji, kwa mujibu wa Catherine Collins, kutoka hospitali ya St George mjini London.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/814
dc.language.isootheren_US
dc.publisherShirika la chakula dunianien_US
dc.subjectKilimoen_US
dc.subjectZaoen_US
dc.subjectNdizien_US
dc.subjectZao la Ndizien_US
dc.titleZao la ndizi na faida zakeen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
ZAO LA NDIZI NA FAIDA ZAKE.pdf
Size:
1.87 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
pdf
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections