Wanyamapori Tanzania
Loading...
Date
2006-12
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Wizara ya maliasili na utalii
Abstract
Taarifa za wataalam zinaonyesha kuwa vina vya maji katika Ziwa Victoria na Ziwa Rukwa vimepungua sana kutokana na uharibifu wa mazingira ambao
nchi zilizoendelea hupendelea kuuita Mabadiliko ya Hali ya Hewa" ili kuficha ukweli wakati ni malokeo ya uharibifu wa mazinbgira. Kwa ujumla, mabadiliko ya hali ya hewa ni matokeo ya uharibifu wa mazingira unaotokana na binadamu. pia hutokana na kazi za viwandani ambazo pia zimekuwa zikisababisha moshi ambao huharibu kiambaza kinachozuia watu wa.siaihirike na niiale ya jua.
Description
Keywords
Wanyamapori, Mazingira, Uharibifu
Citation
http//www.newafnca.com/tanzaniawildlife