Kulima na kufuga kwa njia ya kisasa
Loading...
Date
1987-11-13
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
INADES-FORMATION
Abstract
Kijitabu kidogo hiki kina mambo ya msingi. Yafaa ukisome kabla hujaanza kujifunza. Kinaelekeza mambo muhimu matano: Masomo haya yatamsaidia na kumfaidi nani?, Zipo faida gani katika kujifunza?, Yakupasayo kujua juu ya masomo haya, Jinsi ya kujifunza masomo haya, Jinsi ya kufanya kazi za mazoezi.
Description
Keywords
Kulima, Ufugaji, Kufuga kisasa