Mbinu kuu za kilimo cha mboga

dc.contributor.authorBERAFOOT INTERNATIONAL LTD
dc.date.accessioned2023-08-25T09:07:03Z
dc.date.available2023-08-25T09:07:03Z
dc.date.issued2023
dc.description.abstractMatayarisho na uendeshaji wa kitalu cha mboga Kitalu ni nini? Kitalu ni mahali ambapo miche huoteshwa na kutunzwa kabla ya kupandikizwa Kwenye bustani au shambani Kwenye mashimo. Mavuno mazuri ya kilimo cha mboga na matunda utategemea sana matunzo bora ya miche kuanzia hatua ya kitalu kwa sababu kitalu ni sehemu mama katika uzalishaji wa miche. Mkulima anapaswa awe mwangalifu katika kuchagua mahali pazuri pa kuweka kitalu. Pamoja na kuwa mwangalifu katika kuchagua eneo linalofaa vile vile mkulima afahamu mbinu za kutayarisha na kutunza miche Kwenye kitalu.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/708
dc.language.isootheren_US
dc.publisherSokoine university of agricultureen_US
dc.subjectMbogaen_US
dc.subjectKilimoen_US
dc.subjectMbinuen_US
dc.titleMbinu kuu za kilimo cha mbogaen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
KILIMO.odt
Size:
28.68 KB
Format:
OpenDocument Text
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections