Mwongozo wa kilimo cha zao la korosho:

dc.contributor.authorWanafunzi wa chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA
dc.date.accessioned2023-02-27T09:07:03Z
dc.date.available2023-02-27T09:07:03Z
dc.date.issued2022
dc.description.abstractKorosho ni zao la biashara linaloweza kudumu kwa muda mrefu. Mti wa mkorosho huanza kutoa mavuno ifikapo miaka mitatu hadi minne baada ya kupandwa. Kadri umri wa mkorosho unavyo ongezeka, ndivyo mavuno yanavyoongezeka ya. Kiwango cha juu cha mavuno hupatikana mkorosho unapofikia umri wa miaka saba hadi 10, na baada ya miaka 10 mavuno huanza kupungua. Mti wa mkorosho huhitaji eneo la kutosha ili kuruhusu ustawi na kuongeza kiwango cha mavuno. Mti wa mkorosho hustawi zaidi ukanda wa joto. Mikoa inayozalisha zaidi korosho ni Mtwara, Lindi, Pwani, Tanga, na Ruvuma. Kutokana na tafiti mbalimbali zilizofanywa na vituo vya utafiti ikiwamo Naliendele, mikoa mingine inayofaa kwa uzalishaji ni Morogoro, Singida, Iringa, Dodoma na Mbeya. Zao la korosho lina faida nyingi, zikiwemo; hutumika kama chakula na kuzuia mmomonyoko wa udongo, na malighafi ya viwandani kwani korosho ni chanzo cha mafuta inapopogolewa. Vile vile zao la korosho ni chanzo cha ajira cha kuongeza kipato kwa mkulima, hivyo kumwezesha kuboresha maisha, mfano kujenga nyumba bora na kusomesha watoto na kinaongeza pato la taifa kwani ni chanzo cha pesa za kigeni Kijitabu hiki kimeandaliwa kwa ajili ya kumsaidia mkulima kuweza kufahamu kuhusu namna ya uzalishaji bora wa korosho kuanzia zikiwa shambani mpaka sokoni, ili kuweza kufikia matarajio yaliyo bora katika uzalishaji wa zao hilo. Hivyo ni matarajio yetu kuwa, kupitia kijitabu hiki, mkulima wa zao la korosho ataweza kutambua mbinu bora za uzalishaji wa zao la korosho.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/671
dc.publisherChuo kikuu cha Sokoine cha kilimoen_US
dc.subjectKoroshoen_US
dc.subjectZao la biasharaen_US
dc.titleMwongozo wa kilimo cha zao la korosho:en_US
dc.title.alternativekwa wakulima wadogo Tanzaniaen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
MWONGOZO WA KILIMO CHA KOROSHO_Mpya Julai 2022.pdf
Size:
2.48 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Main article
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections