Masoko ya mazao ya kilimo

dc.contributor.authorMtega, Wullystan
dc.date.accessioned2022-02-10T06:19:29Z
dc.date.available2022-02-10T06:19:29Z
dc.date.issued2020-05-20
dc.description.abstractMkulima anatakiwa kutafuta soko la mazao yake kabla hajaanza shughuli ya uzalishaji shambani. Ili kupata taarifa za kutosha, mkulima anashauriwa kufanya utafiti wa soko. Mkulima anaweza tumia njia kuu mbili: (i) kuandaa dodoso na kuwauliza wadau muhimu wa soko la zao alilozalisha na, (ii) kutembelea masoko ya mazao na kukusanya taarifa kwa njia ya kuona. Utafiti wa soko humwezesha mkulima kutoa maamuzi sahihi juu ya uuzaji wa mazao yake. Katika kuuza mazao, mkulima lazima azingatie sheria, kanuni na taratibu za nchi na soko husika. Pia, ni muhimu kuelewa namna nguvu ya soko inavyofanya kazi. Hii itamsaidia mkulima kujua lini ayapeleke mazao sokoni na hivyo kupata bei nzuri zaidien_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/573
dc.language.isootheren_US
dc.publisherSokoine university of A gricultureen_US
dc.subjectMazaoen_US
dc.subjectMasokoen_US
dc.subjectKilimoen_US
dc.titleMasoko ya mazao ya kilimoen_US
dc.title.alternativeMWONGOZO KWA WAKULIMAen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
MASOKO YA KILIMO.pdf
Size:
269.32 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Main aticle
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: