Kilimo hai mboji ya udongo

dc.contributor.authorTanzania Organic Agriculture Movement (TOAM)
dc.date.accessioned2026-10-16T07:29:34Z
dc.date.available2026-10-16T07:29:34Z
dc.date.issued2023
dc.descriptionKipeperushi
dc.description.abstractMboji ni muhimu kwa uwezo wa udongo kutunza virutubisho na kuvitoa kwa mimea inapohitaji .Kitu chochote chenye asili ya mmea au mnyama kinapowekwa ardhini huoza na kugeuka kwa kiasi fulani kuwa udongo au mboji. Katika mazingira asilia kiasi cha mboji kilichoko kwenye udongo .Hali ya hewa ya joto na yenye fukuto huongeza kuoza kwa vitu hivi.Lakini hali hiyo ya hewa huleta mabadiliko kwenye muundo wa mboji (na kuchukua sifa za madini). Shughuli za utifuaji wa ardhi pia huharakisha mchakato huu kwani huongeza kiasi cha hewa ya oksijeni kwenye udongo. Kwahiyo kuongeza mboji na kupunguza utifuaji wa ardhi zinahitajika ili kuendeleza viwango vinavyostahili vya mboji kwenye udongo.
dc.identifier.urihttps://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/1051
dc.language.isoother
dc.publisherTanzania Organic Agriculture Movement (TOAM)
dc.subjectMboji
dc.subjectUdongo
dc.titleKilimo hai mboji ya udongo
dc.typeOther

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
kilimo-hai-mboji-ya-udongo(2).pdf
Size:
4.13 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: