Jifunze kustawisha viazi mviringo.

dc.contributor.authorNgeze, Pius B
dc.date.accessioned2024-02-23T09:11:24Z
dc.date.available2024-02-23T09:11:24Z
dc.date.issued2009
dc.description.abstractKatika kundi la mazao ya mizizi, viazi mviringo ni maarufu na vina umuhimu wa pekec. Ni zao la chakula na biashara katika nchi nyingi zilizocndclca na zinazocndclea. Zao hili ni moja ya mazao manne ya chakula yanayozalishwa kwa wingi na kutumiwa na watu wengi sana duniani. Hustawi vizuri kwenye sehemu za miinuko, kati ya meta 1,300 na 2,700 juu ya usawa wa bahari. Kipindi cha kukomaa ni kati ya miezi mitatu na mitano.Mbali na utamu wa viazi mviringo, lakini mlaji hujipatia asilimia kubwa ya chakula chenye asili ya wanga. Aidha, vina kiasi cha kutosha cha protini, madini, vitamini na maji.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/820
dc.language.isootheren_US
dc.publisherTanzania Educational Publishers Ltden_US
dc.subjectViazien_US
dc.subjectMviringoen_US
dc.subjectKustawishaen_US
dc.titleJifunze kustawisha viazi mviringo.en_US
dc.typeLearning Objecten_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
JIFUNZE KUSTAWISHA VIAZI MVIRINGO.pdf
Size:
1.72 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections