Kudumisha uhusiano kati ya jamii, ufugaji na wanyamapori: WONGOZO WA USHIRIKISHWAJI KATIKA KUPANGA MATUMIZI YA ARDHI

dc.date.accessioned2017-12-22T11:25:10Z
dc.date.available2017-12-22T11:25:10Z
dc.date.issued2009
dc.description.abstractMwongozo huu umeandaliwa ili kusaidia jamii na watunga sera katika ngazi ya jamii na kitaifa kufanya maamuzi na uchaguzi sahihi kuhusu matumizi ya ardhi, biashara, na sera za kitaifa kwa maeneo ya wafugaji, hasa nyika za umasaini na maeneo makame ya Afrika ya Mashariki. Kitini hiki kinachoeleza mfumo wa kusaidia ufanyaji maamuzi, Kudumisha uhusiano kati ya jamii, ufugaji na wanyamapori ni matokeo ya kazi iliyofanywa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), Mfuko wa Uhifadhi Wanyamapori Afrika (AWF) na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Mifugo (ILRI), pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia mradi wa Mifumo mipya ya kujumuisha mifugo na wanyamapori kwenye maeneo ya malisho yaliyopo pembezoni mwa hifadhi za Taifa katika Afrika - Tanzania uliofadhiliwa na Mfuko wa Dunia wa Mazingira (GEF) na Benki ya Dunia.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/77
dc.language.isootheren_US
dc.publisherMfuko wa Uhifadhi Wanyamapori Afrika (AWF)en_US
dc.subjectArdhien_US
dc.subjectWafugajien_US
dc.subjectUfugajien_US
dc.subjectWanyamaporien_US
dc.subjectKilimoen_US
dc.titleKudumisha uhusiano kati ya jamii, ufugaji na wanyamapori: WONGOZO WA USHIRIKISHWAJI KATIKA KUPANGA MATUMIZI YA ARDHIen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Kudumisha uhusiano jamii ufugaji nn wanyamapori.pdf
Size:
2 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections