Kitunguu saumu

Loading...
Thumbnail Image

Date

2022-12-03

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Taasisi ya chakula na lishe.

Abstract

Kitunguu saumu ni kiungo muhimu katika kaya nyingi kwenye mapishi. Pia kinajulikana kwa sifa zake za dawa. Mtaalamu wa Lishe Kerry Torrens anaeleza kwa nini? Kitunguu saumu ni moja ya mimea ya zamani zaidi duniani na ni mmea mgumu wa kudumu wa familia ya Liliaceae. Mimea mingine ya familia hii ni pamoja na kitunguu maji na kitunguu cha majani.Wanatofautishwa na harufu ya kupendeza na ladha maalum.Tembe zake zenye mfanano wa weupe hivi ndizo zinazotumika.

Description

Keywords

Kitunguu, Saumu

Citation

Collections