Kilimo bora cha ufuta
Loading...
Files
Date
2022-06-25
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele
Abstract
Ufuta ni zao la biashara ambalo hutumika kama chakula cha binadamu.Mbegu zake hutumika kutengeneza vyakula mbalimbali kama kashata, mikate, tui,bwimbwi, mashudu yake hutumika kulisha mifugo.Tanzania ni nchi ya kwanza duniani kwa uzalishaji wa ufuta ikifuatiwa na Myanmar na India (chanzo:FAO 2018. Ufuta hustawi zaidi mikoa ya Lindi, Mtwara,Dodoma,Manyara na Mbeya
Description
Keywords
Kilimo, Ufuta