kilimo cha maharage ya njano

dc.contributor.authoralex, maige
dc.date.accessioned2023-08-25T05:45:10Z
dc.date.available2023-08-25T05:45:10Z
dc.date.issued2017
dc.description.abstractKilimo cha maharage ni rahisi na kinalipa sana kikifanyika kwa utaalamu. Gharama nafuu na competion ya soko ni almost zero. Huhitaji kusafiri, kinachofanyika ni kuwaita wateja waje shamba watuniashane misuli mbele yako bila dalali kisha ww ndo una decide whom to trade with! Ekari moja ya maharage ya njano unaweza pata gunia 20 - 30. na gunia moja kwa sasa ni shs 270,000. Shamba la maharage kama unalima kwa kumwagilia unaweza lima mara tatu kwa mwaka . Hii ina maana ukilima ekari moja tu utakua na uhakika wa kipato cha Milioni 5.5 kila baada ya miezi minne, na kama ukilima ekari kumi basi wewe kila miezi minne utakua unaingiza milioni 55. Hata uwe mlevi vipi huwezi maliza hizo helaa na ni lazima baada ya mwaka mmoja tu mabenki yataanza kukuheshimu na status yako itabadilika for good.en_US
dc.description.sponsorshipsuaen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/698
dc.language.isootheren_US
dc.publisherchuo kikuu cha kilimo cha sokoineen_US
dc.subjectkilimoen_US
dc.subjectmaharage ya njanoen_US
dc.titlekilimo cha maharage ya njanoen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
maharage njano.pdf
Size:
343.86 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Pdf
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections