Kilimo bora cha alizeti

Loading...
Thumbnail Image

Date

2022

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Taasisi ya utafiti wa kilimo Tanzania( TARI)

Abstract

Zao la alizeti ni miongoni mwa mazao ya mbegu za mafuta, zao hili hutoa mafuta ya kula kwa binadamu na mashudu kwa ajili ya chakula cha mifugo. Alizeti ni zao lenye thamani kiuchumi na mafuta hutumika katika utengenezaji wa vipodozi, madawa na nishati mbadala kwenye viwanda Maua ya alizeti hutumika kama mapambo na kutoa chavua kwa ajili ya nyuki kutengeneza asali

Description

Kipeperushi

Keywords

Alizeti

Citation

Collections