Mwongozo wa Kikundi Kuhusu Mafunzo ya Kukuza na Kuendeleza Kilimo Biashara

dc.contributor.authorRuto, Grace
dc.contributor.authorOdhong', Charles
dc.date.accessioned2019-06-24T07:18:42Z
dc.date.available2019-06-24T07:18:42Z
dc.date.issued2016
dc.description.abstractMWONGOZO HUU UMEANDALIWA ILI KUWEZESHA KUWAFUNDISHA wakulima katika ukuzaji wa biashara, hivyo kuwezesha wakulima wanaofanya kilimo cha kujikimu kubadilisha kutoka kulima kwa ajili ya chakula cha familia tu hadi kilimo kama shughuli ya kibiashara. Mwongozo huu una lengo la kuwapa wakulima ujuzi, mtazamo, na ustadi unaohitajika kubadilisha na kukuza biashara zao kwa namna endelevu ili ziwe biashara za kilimo zenye mafanikio. Mwongozo huu unaangazia dhana za msingi kuhusu uwekezaji, kanuni za msingi kuhusu mnyororo wa thamani, huduma muhimu za ukuzaji wa biashara, namna ya kutumia soko kwa mafanikio, usimamizi wa fedha na ujuzi wa upangaji wa biashara ulio muhimu katika kufanikiwa kwa mjasiriamali anayejihusisha na kilimo biashara.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/476
dc.language.isootheren_US
dc.publisherVi Agroforestryen_US
dc.subjectKilimo Biasharaen_US
dc.subjectKilimoen_US
dc.subjectBiasharaen_US
dc.titleMwongozo wa Kikundi Kuhusu Mafunzo ya Kukuza na Kuendeleza Kilimo Biasharaen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
web_vi-agroforestry_swa_fed-manual.pdf
Size:
8.19 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: