Mbegu za tikiti

dc.contributor.authorUly Clinic
dc.date.accessioned2024-10-08T08:05:45Z
dc.date.available2024-10-08T08:05:45Z
dc.date.issued2020-11-29
dc.description.abstractTikitimaji au tikiti-maji ni tunda la mtikiti-maji lenye maji na nyama ambalo huchangia kutoa ngaziya juu ya vitamini, madini n.k. Matikitimaji ni mojawapo ya jamii aina ya matunda au mbogaboga inayotambaa. Mimea hiyo inapatikana katika kundi linalojumuisha mimea mingine kama matango, maboga na maskwash Kuna vitu ambavyo umekuwa ukividharau au kuona havifai kabisa unapokuwa unakula vyakula aina fulani haswa ikija kwenye ulaji wa mbegu au maganda ya matunda kama zabibu, maboga n.k. Kusoma makala hii itakusaidia kufahamu kiundani kuhusu faida za kiafya za mbegu za tikiti maji na namna ya kutumia mbegu hizo ili kupata faida zake.en_US
dc.identifier.citationhttps://www.ulyclinic.com/faida-za-kiafya-za-mbegu-ya-tikitien_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/935
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUly Clinicen_US
dc.subjectMbeguen_US
dc.subjectTikitien_US
dc.subjectFaidaen_US
dc.titleMbegu za tikitien_US
dc.title.alternativeFaida za kiafya ya mbegu ya tikitien_US
dc.typeLearning Objecten_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Faida ya mbegu ya tikiti.pdf
Size:
58.08 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections