Tanzania iyajo uvuvi wa kisasa unaotumia sayansi, teknolojia na ubunifu
Loading...
Date
2015
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Wizara ya Kilimo uvuvi na ushirika
Abstract
Samaki wamekuwa ni chanzo kizuri na kikubwa cha protein Duniani. Ulaji wa samaki
umeongezeka maradufu tokea Mwaka 1973; asilimia 90 (90%) la ongezeko hilo likiwa kwa
nchi zinazoendelea (Developing Countries). Tani milioni 45.4 za samaki zililiwa Duniani
Mwaka 1973: India-tani milioni 1.8, Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara-tani milioni 2.6;
China-tani milioni 4.9 na Japan-tani milioni 7.6. Benki ya Dunia (WB) inakadiria kwamba
ifikapo Mwaka 2030, asilimia 70 (70%) ya mahitaji (matumizi/ulaji) ya samaki yatatokea
kwenye Bara la Asia.
Description
Keywords
Uvuvi, Samaki, Baharini, Maziwa