Tathmini ya hali ya lishe,unasihi na huduma za lishe (NACS)
Loading...
Date
2017-12
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Wizara ya afya
Abstract
Taasisi ya chakula na lishe Tanzania (TFNC). 2013. Ulishaji wa watoto wachanga na wadogo: Bango kitita lenye ujumbe muhimu. Dar es Salaam, Tanzania: Taasisi ya chakula na lishe Tanzania na kuchapishwa kwa ufadhili wa shirika la kuhudumia watoto duniani (UNICEF).
Vyakula vya nafaka, mizizi na ndizi mbichi vyakula hivi ndivyo vinavyochukua sehemu kubwa ya mlo na kwa kawaida ndiyo vyakula vikuu. Vyakula katika kundi hili ni pamoja na mahindi, mchele, mtama, ulezi, ngano, uwele, viazi vikuu, viazi vitamu, mihogo, magimbi, viazi mviringo na ndizi mbichi.
Description
Keywords
Hali ya lishe, Huduma za Lishe, Unasihi
Citation
Tovuti: www.lishe.org