Amka na Alfalfa Tanzania: Majani jamii ya mikunde
Loading...
Date
2019-03
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Jukwaa la Kilimo Tanzania
Abstract
Kilimo Biashara cha Alfalfa Tanzania ni Kilimo Kamilifu (Comprehensive farming) yaani kilimo Shamba hadi Sokoni (From farm to fork), ni Kilimo kinachoangalia mzunguko mzima Wa kuongeza thamani kupitia mnyororo Wa uzalishaji. Kilimo hichi kitawahusisha watafiti katika ngazi zote kuanzia Shamba hadi Dukani.
Description
Keywords
Alfalfa, Majani, Mikunde