Chakula dawa
Loading...
Date
2022-10-22
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Sokoine university of agriculture
Abstract
Chakula dawa ni chakula kilichotengenezwa na kurutubishwa kwa nishati,vitamin na madini.Chakula hiki kimetengenezwa ma mafuta na hakihitaji kuchanganywa na maji.Chakula dawa hutumika katika kutibu utapiamlo kwa sababu huwa kina nishati,vitamin na madini kiasi kikubwa.
Description
Keywords
Chakula, Dawa, Faida, Matumizi
Citation
www.tfnc.or.tz