Kilimo cha Nyanya

dc.contributor.authorMliga, Hekima
dc.date.accessioned2022-04-12T10:56:56Z
dc.date.available2022-04-12T10:56:56Z
dc.date.issued2021-05-13
dc.description.abstractNyanya ni miongoni mwa mazao ya mboga yanayozalishwa nchini Tanzania.Nyanya imewekwa katika kundi la mboga za matunda sababu kuu ni kwamba tundalake ndiyo sehemu ya mboga inayotumika kwa chakula.Takwimu zinaonyesha kwamba nyanya inachangia asilimia 64 ya mazao yamboga na matunda yanayolimwa nchini Tanzania. Nyanya zinalimwa maeneo mengi nchini Tanzania japokua mikoa inayoongoza kwa uzalishaji wa kiasi kikubwa ni Morogoro, Iringa, Mbeya, Arusha, Kilimanjaro, Singida, Tanga na Zanzibar. Mkoa wa Morogoro ndiyo unaoongoza kwa kilimo hichi ikiwa na wazalishaji wenye zaidi ya hekta 6,159 (ekari 15,398). Pamoja na kwamba eneo la uzalishaji linaongezeka kwenye maeneo mengi lakini uzalishaji wa nyanya bado ni mdogo sana. Uzalishaji mdogo unasababishwa na kupungua kwa rutuba ya ardhi, upepo, joto, ukame. Sababu nyingine ni pamoja na ukosefu wa aina za nyanya zenye mavuno mengi amabazo zinahimili mazingira, kukosekana kwa masoko, wadudu, magonjwa na magugu sumbufu.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/576
dc.language.isootheren_US
dc.publisherSokoine University of Agricultureen_US
dc.subjectUpandaji, nyanya, shambani ,Utunzaji , mazao, Uvunajien_US
dc.titleKilimo cha Nyanyaen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
hekima mliga.docx
Size:
4.42 MB
Format:
Microsoft Word XML
Description:
Main article
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections