Mwongozo wa Kilimo Bora cha Beetroo

dc.contributor.authorMkono, Abdul A.
dc.date.accessioned2024-09-03T06:19:06Z
dc.date.available2024-09-03T06:19:06Z
dc.date.issued2022-07
dc.descriptionKwa wakulima wa Tanzania tuen_US
dc.description.abstractIli kupata chakula chenye madini ya kutosha na ya kufana wataalamu hushauri tule matunda na mboga mboga kwa wingi. Na mojawapo ya vyakula hivi ni tunda au mmea aina ya beetroot kama unavyofahamika zaidi kwa kimombo. Beetroot ni zao ambalo jina lake kibaiolojia huitwa Beta vulgaris. Na zao hili tunda lake hujiunda katika mizizi kama kitunguu. Beetroot ni muhimu sana kwa kuongeza damu na kuimarisha kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali. Inaweza kuliwa kama ilivyo baada ya kuvunwa au ikatengenezwa juice na ikatumika vizuri kabisa. Lakini pia majani yake yanalika kama spinach. Kwa ukuaji bora wa mimea hii inahitaji mvua ya kutosha. Pia hukubali vyema katika udongo wenye rutuba na wa kitifutifu. Udongo wa mfinyanzi ambao ukikauka unapasuka husababisha tunda kuwa na umbo ambalo sio zuri kibiashara.en_US
dc.description.sponsorshipGreen Agriculture is Your Farming frienden_US
dc.identifier.citationhttps://greenagriculturetz.com/2022/07/20/mwongozo-wa-kilimo-bora-cha-beetrot/en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/922
dc.publisherGreen Agriculture is Your Farming frienden_US
dc.subjectBeetrooten_US
dc.subjectKiazi chekunduen_US
dc.titleMwongozo wa Kilimo Bora cha Beetrooen_US
dc.title.alternativeKiazi chekunduen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Beet Root.pdf
Size:
314.19 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Kilimo Bora cha Beetroot/Kiazi chekundu
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections