Tunza Jamii Yako, Tunza Mazingira Yako kwa Maisha Bora: Jihusishe. Jipangie. Amua
Loading...
Date
2010
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
The Green Belt Movement
Abstract
Kijitabu hiki kimetengenezwa na Shirika la FHI 360 likishirikiana na Green Belt Movement kama sehemu ya tathmini kwa afya ya umma. Green Belt Movement ina lengo la kulinda mazingira ikiwa ni pamoja na uongozi mzuri kwa wale wanaoishi humo. Kijitabu hiki kitashughulikia uhusiano kati ya Mazingira bora, usalama wa riziki na familia zenye afya, miongoni mwa mengine.
Description
Keywords
Uzazi wa mpango, Familia, Mazingira