Matunzo ya shamba na uvunaji wa zabibu
| dc.contributor.author | Taasisi ya utafiti wa kilimo Tanzania | |
| dc.date.accessioned | 2026-02-17T09:00:40Z | |
| dc.date.available | 2026-02-17T09:00:40Z | |
| dc.date.issued | 2024 | |
| dc.description | Kipeperushi | |
| dc.description.abstract | MATUNZO YA SHAMBA NA UVUNAJI Ili kupata mavuno yenye tija ni muhimu kutunza vizuri shamba la mizabibu. Matunzo ya shamba ni pamoja na kupalilia, kutifulia, kudhibiti visumbufu na kukatia mizabibu. Palilia shamba mara kwa mara ili kudhibiti magugu, kwa wastani palizi tatu zinatosha katika msimu mmoja . Ni muhumu kutifulia udongo kwenye shamba la mizabibu kila wakati ili kuvuna maji ya mvua. | |
| dc.identifier.uri | https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/959 | |
| dc.language.iso | other | |
| dc.publisher | TARI | |
| dc.subject | Zabibu | |
| dc.subject | Mtunzo ya zabibu | |
| dc.subject | Uvunaji wa zabibu | |
| dc.title | Matunzo ya shamba na uvunaji wa zabibu | |
| dc.type | Other |