Jarida maalum la chanjo ya Mifugo

Abstract

Faida na Malengo ya chanjo na utambuzi . Chanjo ya Mifugo imelenga kulinda afya ya mifugo. .Kuongeza tija, kufungua masoko ya kimataifa kupitia diplomasia ya uchumi, na kuboresha kipato cha wafugaji. . Kupunguza gharama kwa ruzuku ya serikali na kutoa chanjo bure kwa baadhi ya mifugo.

Description

Jarida

Keywords

CHANJO, MIFUGO, UVUVI

Citation

Collections