Maua kwa wakulima na wafanyabiashara

dc.contributor.authorProgramu ya pantil
dc.date.accessioned2024-06-25T06:59:55Z
dc.date.available2024-06-25T06:59:55Z
dc.date.issued2009
dc.description.abstractCarnation’ ni ua ambalo asili yake ni nchi za Ulaya zenye hali ya hewa ya baridi. Hapa Tanzania maua ya ‘carnation’ yaliletwa na wazungu katika vipindi tofauti. Mpaka sasa maua haya yanalimwa vijiji vya Tchenzcma na Nyandira huko Mgeta na kijiji cha Ruvuma (Morning Side) mkoani Morogoro. Maua aina ya ‘carnation’ pia yanalimwa na kampuni ya Highlanders wilayani Njombe na kijiji cha Ndiwili wilayani Kilolo katika mkoa wa Iringa. Mpaka sasa ugavi wa maua ya ‘carnation’ hautoshelczi mahitaji ya soko la ndani. Kwa mfano, wafanyabiashara wanahitaji zaidi ya banchi 100,000 kwa mwaka wakati wakulima hawawezi hata kuzalisha nusu yake. Matokco yakc maua mengi ya ‘carnation’ kwa ajili ya soko la ndani hununuliwa toka Nairobi nchini Kenya. Ni dhahiri kuwa watu wengi nchini Tanzania hawajui kiliino cha maua ya ‘carnation’. Sehemu hii ya kijitabu ina lengo la kuelezea juu ya kilimo cha ‘carnation’ kwa wakulima wadogo wadogo. hasa uzalishaji wa michc, upandaji wa michc bustanini, utunzaji wa bustani na uvunaji wa maua.en_US
dc.identifier.isbn978 9987 640 48 5
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/877
dc.language.isootheren_US
dc.publisherChuo cha kilimo cha Sokoine.en_US
dc.subjectmauaen_US
dc.subjectWakulimaen_US
dc.subjectWafanyabiasharaen_US
dc.titleMaua kwa wakulima na wafanyabiasharaen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Maua kwa wakulima na wafanyabiashara.pdf
Size:
6.51 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections