Ukame: Athari na mbinu za kukabiliana - Warsha ya Kwanza ya Wakulima lliyofanyika Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE), Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), MOROGORO Tarehe 23-27 Aprili 2006

dc.contributor.authorMwaseba, D. L
dc.contributor.authorMatee, A. Z
dc.contributor.authorWambura, R. M
dc.date.accessioned2020-10-07T06:20:51Z
dc.date.available2020-10-07T06:20:51Z
dc.date.issued2006
dc.description.abstractShughuli za utafiti chini ya Programu ya Mageuzi ya Kilimo na Maliasili kwa Maisha Bora (PANTIL) zilianza rasmi mwanzoni mwa mwezi Januari 2006. Lengo la programu hii ambayo itatekelezwa kwa muda wa miaka minne (2005-2009) ni kuchangia ukuaji wa uchumi, kupunguza umaskini na kuboresha ustawi wa jamii kwa njia ya uboreshaji wa sekta za kilimo na mali asili. Programu hii inazo sehemu kuu mbili. Sehemu ya kwanza inashughulikia utafiti na uwezeshaji wa wakulima; na sehemu ya pili inashughulikia mageuzi ya kitaasisi na kuboresha uwezo wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) ili kiweze kutekeleza majukumu yake ya kitaaluma. Shughuli za uwezeshaji wa wakulima zina lengo la kuwaongezea uwezo wakulima ili waweze kudai elimu husika, teknolojia inayofaa, pamoja na habari ill kuboresha tija, faida na kuchangia katika kuongeza kipato na kupunguza umaskini. Baadhi ya shughuli kadhaa ambazo zitafanyika katika kipindi cha 2006 hadi 2009 ni kama zifuatazo: • Uimarishaji wa vyama/vikundi vilivyopo vya wakulima na uanzishaji wa vikundi vipya kupitia mafunzo ambayo yatahusu uanzishaji vikundi, uendeshaji wake, na uongozi. Shughuli hizi zitahusisha uongozi husika, wadau katika ugani zikiwemo asasi zinazofundisha maafisa ugani. • Kusaidia kuanzisha shule za wakulima katika vijiji na wilaya zitakazochaguliwa • Uchapishaji na usambazaji wa nyenzo za ugani kama vile vipeperushi, vijitabu, n.k. • Uimarishaji wa mbinu za wakulima ili waweze kushiriki katika kutoa mafunzo na usambazaji wa teknolojia mpya kwa wakulima wengine, na kuyafikia maeneo yaliyo nje ya programu ili yaweze kufaidika na programuen_US
dc.identifier.isbn9987- 422-23-3
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123456789/511
dc.language.isootheren_US
dc.publisherPANTIL - SUAen_US
dc.relation.ispartofseries;PPN 004
dc.subjectUkameen_US
dc.subjectMisituen_US
dc.subjectMazingiraen_US
dc.titleUkame: Athari na mbinu za kukabiliana - Warsha ya Kwanza ya Wakulima lliyofanyika Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE), Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), MOROGORO Tarehe 23-27 Aprili 2006en_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
UKAME0001.pdf
Size:
14.31 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections