Mkulima
Permanent URI for this community
Browse
Browsing Mkulima by Author "Ballegu W. R."
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Usindikaji rahisi wa muhogo(Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo( SUA ), 2022) Silayo V. C. K.; Laswai H. S.; Mpagalile J. J.; Ballegu W. R.; Makungu P. J.; Mtunda K.; Chilosa D.; Nyborg I.Muhogo ni zao mbadala kwa wakulima wa "Tanzania. Faida za muhogo ni nyingi na hasa katika kuongeza uhakika wa chakula na pato la kaya. Uboreshwaji wa njia za kusindika muhogo ili kupata aina mbalimbali za vyakula umeongeza nafasi ya muhogo katika kilimo hapa Tanzania. Shime sote tuongeze juhudi katika kilimo cha muhogo - MUHOGO NI MALI.