Mkulima
Permanent URI for this community
Browse
Browsing Mkulima by Title
Now showing 1 - 20 of 925
Results Per Page
Sort Options
Item Acaccia(Sokoine university of agriculture, 2023-09-16) sarmiento, lourdesAcacia ya Constantinople Ni mti wa asili katika bara la Asia . Inaweza kupima hadi mita12, ingawa ni nadra kwake kuzidi mita 6-7 katika kilimo. Haina ukuaji wa haraka sana au polepole sana, badala yake kiwango cha ukuaji ni cha kati. Katika maeneo yenye upepo inahitaji kuwa chini ya mkufunzi kwa angalau mwaka mmoja au miwili, kwani shina linaweza kuvunjika kwa urahisi, haswa ikiwa mfano ni mchanga. Unaweza kutumia logi ya kuni ambayo unaweza kuzika karibu na mfano mdogo au tumia zabibu ya chuma isiyo nene sana. Kwa kamba kidogo itakuwa sawa.Item African mangosteen: Garcinia livingstonei(Department of Agriculture, forestry and Fisheries - South Africa, 2016)Mangosteen originates in the Sunda Island (Brunei, East Timor, Indonesia and Malaysia) and the Moluccas or Spice Islands (Indonesia) in tropical Asia. Originally from Malaysia, it was spread to the Philippines, Burma and India and further to other parts of the world. The mangosteen plant was introduced in England in 1789, and shortly in the Pacific island and Antilles. Mangosteen was introduced in Sri Lanka in 1800. The mangosteen seedlings were introduced to Australia in 1854, after that it was found throughout the tropics. The tree is widespread in the warmer parts of Africa, from just north of Durban to as far as Somalia and Guinea. In southern Africa it spreads quite far up the Limpopo and Zambezi Valleys.Item Agri outreach(CTA, 2010-05-07) Salanje, Geoffrey F.The recent outbreaks of Rift Valley Fever (RVF) caused only minor media interest- but the farmers and animals may not agree that the impact was "minor".Item Agricultural Research Institutes – Selian, Uyole and Maruku Released Nine (9) Improved Common Bean Varieties in January 2018.(Agricultural Research Institute - ARI Uyole, 2018)Common bean (Phaseolus vulgaris) plays a principal role in the livelihoods of smallholder farmers in Tanzania as food security crop and source of income. It is the leading leguminous crop, accounting for 78% of land under legumes (FAO, 2013). Per capita bean consumption is 19.3kg, contributing 16.9% protein and 7.3% calorie in human nutrition and 71% of leguminous protein in diets. It is estimated that over 75% of rural households in Tanzania depend on beans for daily subsistence (Grisley, 1991; Rugambisa 1990 & Kalyebara et al., 2008).Item Aina mbalimbali za umwagiliaji(Tume ya Taifa ya umwagiliaji, 2021-10-15) Tume ya Taifa ya umwagiliajiUmwagiliaji ni mtindo wa kilimo cha kupelekea mimea maji shambani kwa kiwango kilichoruhusiwa pasipo kutegemea unyeshaji mvua. Umwagiliaji huenda pamoja na matupio (drainage), ambao ni uondoaji makusudi wa maji ya ziada katika eneo baada ya kumwagilia.Katika nchi yetu, umwagiliaji umekuwa unafanywa sehemu ambazo mvua ni kidogo au sehemu ambazo zinakuwa na mvua nyingi kwa kipindi kifupiTeknolojia ya umwagiliaji maji mashambani inaanzia kwenye kuchukua maji kwenye vyanzo vya maji, kupeleka mashambani na kuyarudisha mtonItem Aina Tatu za Kahawa Tanzania(Mafatanzania blog/Mtanzania.co.tz, 2024-03) Matanzania blog, Mtanzania.co.tzKampuni ya ITO EN LTD, ambayo ni kampuni tanzu ya Tully’s Co. Ltd., inayomiliki migahawa maarufu ya Tully’s Coffee, imezindua aina tatu mpya za kahawa ya Tanzania, nchini Japan katika hafla iliyofayika jijini Tokyo tarehe 14 Machi, 2024. Aina za kinywaji hicho pendwa nchini humo kinachotokana na kahawa kutoka Tanzania ni TULLY’s COFFEE BARISTA BLACK KILIMANJARO; TULLY’S COFFEE MY HOME BLACK KILIMANJARO; na TULLY’S COFFEE BARISTA ROAST COLD BREW – KILIMANJARO BLEND. Kahawa hizo ni kutoka mkoa wa Arusha, Tarime mkoani mara na mashamba ya GDM yaliyoko Mbozi mkoani Mbeya.Item Aina ya tumbaku(Philip Morris International, 2023)Item Alfalfa Management Guide(American Society of Agronomy Crop Science Society of America Soil Science Society of America, 2011) Undersander, D; Cosgrove, DAlfalfa requires a well-drained soil for optimum production. Wet soils create conditions suitable for diseases that may kill seedlings, reduce forage yield, and kill established plants. You can reduce some disease problems associated with poor drainage by selecting varieties with high levels of resistance and by using fungicides for establishment. Poor soil drainage also reduces the movement of soil oxygen to roots. Poor surface drainage can cause soil crusting and ponding which may cause poor soil aeration, micronutrient toxicity, or ice damage over winter. Even sloping fields may have low spots where water stands, making it difficult to maintain alfalfa stands.Item Alfalfa Management Guide(American Society of Agronomy Crop Science Society of America Soil Science Society of America, 2015) Undersander, D; Renz, M; Sheaffer, CKitabu kinachoelezea uzalishaji wa mmea huu wa alfalfa pamoja na faida zake kwa ujumlaItem Amka na Alfalfa Tanzania: Majani jamii ya mikunde(Jukwaa la Kilimo Tanzania, 2019-03)Kilimo Biashara cha Alfalfa Tanzania ni Kilimo Kamilifu (Comprehensive farming) yaani kilimo Shamba hadi Sokoni (From farm to fork), ni Kilimo kinachoangalia mzunguko mzima Wa kuongeza thamani kupitia mnyororo Wa uzalishaji. Kilimo hichi kitawahusisha watafiti katika ngazi zote kuanzia Shamba hadi Dukani.Item Asali na faida zake(Sokoine university of agriculture, 2022-12-22)Ikiwa ni tamu kuliko sukari, je asali, ni kimiminika asilia kinachochukua nafasi ya sukari? Mtaalamu wa lishe Jo Lewin anaainisha faida za kiafya na madhara ya asali. Asali hutengenezwa na nyuki. Hutokana na mkusanyiko wa vimiminika vyenye sukari nyingi itokayo kwenye mimea ya maua. Huhifadhiwa katika sega la asali ili kutoa chakula kwa nyuki.Item Athari za mabadiliko ya Tabianchi kwa uchumi wa Zanzibar: Muhtasari wa Ripoti ya mwisho 2012(Serikali ya Mapinduzi Zanzibar - SMZ, 2012)Utafiti huu wa athari za Mabadiliko ya Tabianchi kwa uchumi Zanzibar umetoa tathmini ya athari kubwa za mabadiliko ya tabianchi kwa visiwa hivi,njia muhimu za kuweza kukabiliana nazo na fursa ya kupunguza ongezeko la hewa mkaa.Utafiti huu umegundua matokeo muhimu yanayofafanuliwa kama ifuatavyo hapa chini. Uchumi wa Zanzibar unategemea sana tabianchi na sehemu kubwa ya Pato la Taifa, ajira na maisha yanahusiana na shughuli zinazotokana na tabianchi (za pwani, kilimo na utalii). Tabianchi ya Zanzibar imebadilika katika miongo ya hivi karibuni.Tumeshuhudia ongezeko la joto, mvua zisizotabirika,upepo mkali na bahari kupanda juu.Aidha, pia kuna ongezeko la matukio mengi makubwa ( tafauti ya tabianchi).Jambo hili la mwisho limesababisha ukame na mafuriko ambayo yameleta gharama kubwa za kiuchumi kwa Pato la Taifa. Matukio ya namna hii yanaonekana kuongezeka. Aidha, ni wazi kuwa Zanzibar bado haijaweza kukabiliana ipasvyo na tabianchi iliopo na kuna haja ya kuchukuwa hatua za haraka ambazo zinaweza kuleta faida kubwa za kiuchumi katika kushughulikia kasoro za kukabiliana na hali iliopo.Item Athari za Uharibifu wa Mazingira Katika Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya - Warsha ya Saba ya Wakulima wa Kanda ya Mashariki lIiyofanyika Kituo cha Jeshi la Wokovu, Kurasini, Dar es Salaam, 2-4 Desemba 2003(TARP II-SUA Project, 2004) Bakari, A; Malimbwi, R. E; Lyimo-Macha, J. GChuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula, na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway (NLH), kinatekeleza mradi wa Utafiti wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo Tanzania. Mradi huu ambao ulianza rasmi mwezi Septemba 2000, unagharamiwa na Serikali ya Norway. . Chapisho hili Iinawasilisha mwenendo wa Warsha ya saba ya Wakulima wa Mikoa ya Kanda ya Mashariki kuhusu Athari za Uharibifu wa Mazingira katika Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya iliyofanyika Kituo cha Jeshi la Wokovu, Kurasini, Dar es Salaam, 2-4 Desemba 2003. Mwenendo wa warsha umechapishwa na kutolewa katika lugha ya Kiswahili na Kiingereza. Kati ya shughuli muhimu zilizopangwa ili kutekeleza malengo ya mradi na kuimarisha uhusiano kati ya wakulima, watafiti na wataalamu wa ugani ni kufanya warsha zenye madhumuni yafuatayo: 1. Kuwajumuisha watafiti, wakulima na wataalamu wa ugani ili kudadisi kuhusu mambo muhimu yanayohitaji kushirikishwa pande zote kwa lengo la kufanikisha kilimo na ufugaji 2. Kuchambua na kuainisha matatizo yanayowakabili wakulima wadogowadogo 3. Kupanga ili kutambua mambo gani yapewe uzito au kipaumbele 4. Kushiriki katika kupeana uzoefu wa maeneo muhimu ya kilimo na mifugo.Item Athari za vizuizi vya ushuru na visivyo vya ushuru katika kuuza mazao makuu ya chakula, kwa ustawi wa wakulima wadogo.(Economic and Social Research Foundation - REPOA, 2012)Kwa nia ya kupambana na viashirio vya uhaba wa chakula ambavyo zaidi husababishwa na hali mbaya ya hewa, Serikali imekuwa na sera ya kuzuia uuzaji wa aina kuu za vyakula nje ya nchi. Hufanya hivyo kwa kisingizio cha kuhakikisha taifa lina chakula cha kutosheleza mahitaji ya wananchi wakati wote. Aidha, Serikali inaamini kwamba vizuizi hivyo ni hatua ya kuwa na chakula kingi nchini na kuwawezesha walaji wamudu bei yake. Uwepo wa vizuizi vya kusafirisha mazao nje ya nchi na vikwazo vya kibiashara na makusudio yake, yaliibua mijadala mikubwa.Item Azimio la Kilimo kwanza(Baraza la Taifa la Biashara Tanzania - TNBC, 2009)Tamko la Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), ambapo chini ya Mwenyekiti wake Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lilifanya mkutano tarehe 2 na 3 mwezi Juni 2009 jijini Dar es Salaam, kujadili sera na mikakati ya kuleta mapinduzi ya kilimo cha Tanzania pamoja na utekelezaji wake chini ya kaulimbiu ya “KILIMO KWANZA”Item Baadhi ya vikokotooo muhimu kwa wasindikaji wa vyakula(Idara ya Sayansi ya Chakula na Teknolojia - SUA, 2014) Tiisekwa, B. P. MKipeperushi chenye maelezo yanayochanganua mahesabu kwa ajili ya wasindikaji wa vyakulaItem Baadhi ya vyakula na viungo vinavyosaidia kukabiliana na matatizo mbalimbali ya kiafya.(Taasisi ya chakula na lishe., 2018) Taasisi ya chakula na lisheWatu wanaishi na virusi vya ukimwi na wenye ukimwi mara nyingi hupata matatizo ya ulaji ,umeng'enywaji, ufyonzwaji wa chakula mwilini ,mengine ni kupoteza hamu ya kula,mafua ya mara kwa mara ,vidonda vya kooni na kuharisha.Baadhi ya vyakula na viungo hivyo tangawizi,karoti nk.Item Baiashra ya ufugaji bora wa kuku wa asili: kitabu cha mwongozo(Rural Livelihood Development Company - RLDC, 2008)Ufugaji wa kuku ni nyenzo nzuri ya kujipatia kipato katika kaya kwa sababu ufugaji wa kuku hauhitaji mtaji mkubwa na hauna kazi kubwa kiuendeshaji. Katika ufugaji huria kuku hujitafutia chakula wenyewe. Pia inapowezekana hupewa mabaki ya chakula, chenga, pumba au nafaka yoyote inayopatikana katika mazingira husika. Kwa walio wengi ifikapo nyakati za jioni, kuku hulala jikoni au ndani nyumbani kwa mfugaji mwenyewe. Ufugaji huu ni rahisi kwa kuwa hauna gharama kubwa ila faida yake ni kitoweo tu au fedha kidogo sana. Kutokana na lishe duni na kuzaana wenyewe kwa wenyewe (bila kubadili jogoo), kuku wa kienyeji walio wengi wana uzito mdogo. Wana wastani wa uzito wa robo tatu za kilo hadi kilo moja wakiwa na umri wa zaidi ya mwaka mmoja. Ila wakitunzwa vizuri zaidi na kuboreshwa wana uwezo wa kufikia uzito wa kilo moja hadi moja na nusu katika umri wa miezi sita hadi nane. Kwa upande wa utagaji wa mayai kuku wa kienyeji kwa wastani hutaga mayai 50 hadi 65 kwa mwaka. Wakitunzwa vizuri zaidi huweza kufikia uzalishaji wa mayai 80 hadi 100 kwa mwaka. Kijitabu hiki kinatoa maelezo ya njia na kanuni mbalimbali rahisi za kuzingatia ili mfugaji aweze kuzitumia kupata mazao mengi na bora zaidi yatakayomnufaisha kimapato na kwa matumizi mengine. Kanuni hizi ni pamoja na: √ Kuchagua njia bora ya kufuga na sifa za mabanda bora ya kuku √ Kuchagua aina bora ya kuku wa kufuga, kuzaliana na kutotolesha √ Utunzaji wa vifaranga √ Kutengeneza chakula bora cha kuku √ Kudhibiti na kutibu magonjwa √ Kutunza kumbukumbu √ Kutafuta masokoItem Bamia(Seeds of Expertise for the Vegetable Sector of Africa - SEVIA, 2017)Mwongozo juu ya ulimaji na uchaguaji mbegu na aina bora ya bamia kwa ajili ya kupata mavuno bora na uvumilivu wa wadudu.Item Bata mzinga(Ufugaji bora group, 2024-10-11) Ufugaji bora groupBata mzinga ni bata ambao wanahitaji matunzo ya hali ya juu. Kwa kawaida bata mzinga hula chakula kingi kuliko kuku. Bei yake ni ghali zaidi. Kabla ya kuanza ufugaji wa bata mzinga ni lazima kuhakikisha una chakula cha kutosha kwa sababu ulishaji wa ndege hawa kadri wanavyokua huwa na gharama kubwa zaidi.