Browsing by Author "Inades-formation, Tanzania"
Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
Item Kulima na kufuga kwa njia ya kisasa(INADES-FORMATION, 1987-11-13) Inades-formation, TanzaniaKijitabu kidogo hiki kina mambo ya msingi. Yafaa ukisome kabla hujaanza kujifunza. Kinaelekeza mambo muhimu matano: Masomo haya yatamsaidia na kumfaidi nani?, Zipo faida gani katika kujifunza?, Yakupasayo kujua juu ya masomo haya, Jinsi ya kujifunza masomo haya, Jinsi ya kufanya kazi za mazoezi.Item Mafunzo ya kilimo.(INADES-FORMATION TANZANIA., 1990-07-19) Inades-formation, TanzaniaNi asubuhi na mapema Bwana shamba anakutana na Matonya akiwa na shoka beganiJ hengo mkononi na kibuyu cha maji. Hiki ni kipindi cha kiangazi Miti imepNkutisha majani nyasi na vichaka vyote vimekauka majani yote. Upepo unatimua vumbi kila mahali hasa katika maeneo yenye njia za mifugo mashambani na hata barabarani. Na maeneo ya milimani yameanza kuchomwa moto.