Browsing by Author "Madalla, N"
Now showing 1 - 3 of 3
Results Per Page
Sort Options
Item Ufugaji bora wa ng'ombe wa maziwa - mitamba(2017) Madalla, N; Urio, N; Ngomalilo, G; Mkata, KKipeperushi kinachoelezea ufugaji bora wa ng'ombe wa mazima - mitambaItem Ufugaji mseto wa samaki(PANTIL - SUA, 2010) Katule, A. M; Mnembuka, B. V; Madalla, N; Lamtane, H; Mnubi, RUfugaji wa samaki huweza kufanyika kwa kutumia rasilimali zinazopatikana katika mazingira ya mkulima na pia husababisha matumizi bora ya rasilimali za mkulima. Kitabu hiki kinasisitiza ufugaji mseto wa samaki, ikiwa na maana kwamba tuna1enga ufugaji wa samaki unaotumia rasilimali zitokanazo na mifugo au mazao ya mimea ambazo kwa kawaida pengine zisingetumika kwa kazi yoyote nyingine. Pia kinaainisha jinsi ambavyo ufugaji wa samaki huweza kuzalisha, mbali ya chakula kwa matumizi ya binadamu, bali pia rasilimali kwa ajili ya matumizi ya mifugo na mimea shamabani.Item Utunzaji bora wa Sungura(Kitivo cha Kilimo, Idara ya Sayansi za Wanyama - SUA, 2014) Kifaro, C. G; Laswai, G. H; Kerario, I. I; Kibasu, I; Madalla, N; Mayunga, NFaidika na Sungura - Hutoa nyama nyingi kwa haraka • Nyama nyeupe isiyo na mafuta mengi • Huzaa watoto wengi kwa mwaka • Umbile lake ni dogo na rahisi kumfuga • Ulishaji wake ni wagharama ndogo • Nyumba ni rahisi kujenga na gharama ndogo • Mbolea bora ya mashamba kutokana na kinyesi • Ngozi hutoa vifaa mbalimbali