Browsing by Author "Maganga, S."
Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
Item Zuia upungufu wa vitamini A(Idara ya Elimu na Mafunzo ya Lishe Shirika la Chakula na Lishe Tanzania, 1994-04-14) Missano, H.; Temalilwa, C. R.; Maganga, S.Kijitabu hiki ni kimojawapo kati ya vijitabu vyenye lengo la kuelimisha jamii juu ya masuala mbali mbali ya lishe. Wazo la kuandika kijitabu hiki limetokana na ukweli kwamba hakuna maandiko ya kutosha yanayohusu elimu ya lishe kwa wananchi. Vile vile uandishi wa kijitabu hiki umelenga kutoa fursa kwa jamii iweze kuelewa na kutafakari matatizo yake ya kiafya na kilishe hasa ya upun gufu wa vitamini A. Maudhui yaliyotumika ni rahisi na yanayoeleweka. Hivyo ni matarajio ya Wizara ya Afya kuwa maandiko haya iwapo yatasomwa na kutekelezwa yatachangia kuinua afya na lishe ya jamii.Item Zuia upungufu wa wekundu wa damu(TFNC Readers series, 1994) Maganga, S.Mwili wa binadamu unahitaji maji na virutubisho vya aina mbali mbali. Virutubisho hivyo ni vile vya aina ya nishati, utomwili, madini na vitami-ni. Vyote hivi huhitajika katika kulinda na kujenga mwili ikiwa ni pamojana kutengeneza damu na kuupa mwili nguvu. Upungufu wa virutubishohivi ukitokea huweza kusababisha upungufu wa wekundu wa damu.