Browsing by Author "Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania"
Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
Item Kilimo bora cha ndizi(TARI, 2019) Taasisi ya Utafiti wa Kilimo TanzaniaKilimo cha Migomba, ni kilimo ambacho kina manufaa mengi hasa kwa wakulima, hususani katika nchi za Afrika na ukanda wa jangwa la sahara.kitabu hiki kimejikita zaidi katika kueleza namna yakufanya palizi, umuhimu wa palizi,wakati mzuri wakufanya palizi,kuhudumia shina la mgomba.kuondoa matunguu na maua dume,kjuweka miega pamoja na kuchimba mitaro shambani.Item Kilimo bora cha Zabibu(TARI, 2020-04-01) Taasisi ya Utafiti wa Kilimo TanzaniaZabibu ni zao muhimu la biashara katika mkoa wa Dodoma. Zao hili likitunzwa vizuri kwa kufuata kanuni bora za kilimo, huweza kumpatia mkulima mavuno mengi na bora na kumuwezesha mkulima kupata kipato cha kutosha pamoja na kukuza uchumi wa nchi kwa ujumla.