Repository logo
  • English
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • Latviešu
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Қазақ
  • বাংলা
  • हिंदी
  • Ελληνικά
  • Српски
  • Yкраї́нська
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
Repository logo
  • Communities & Collections
  • All of DSpace
  • English
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Español
  • Français
  • Gàidhlig
  • Italiano
  • Latviešu
  • Magyar
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Suomi
  • Svenska
  • Türkçe
  • Tiếng Việt
  • Қазақ
  • বাংলা
  • हिंदी
  • Ελληνικά
  • Српски
  • Yкраї́нська
  • Log In
    New user? Click here to register. Have you forgotten your password?
  1. Home
  2. Browse by Author

Browsing by Author "Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)"

Now showing 1 - 3 of 3
Results Per Page
Sort Options
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Kitalu mkeka kilichoboreshwa
    (Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), 2024) Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)
    Kitalu mkeka ni nini? Kitalu mkeka ni uoteshaji wa miche ya mpunga katika udongo iliyochanganywa na samadi na kusambazwa kina kifupi juu ya ardhi iliyosawazishwa na isiyoruhusu mizizi kupenya Miche hii inakuwa tayari kupandwa ndani ya siku 8 -14 baada ya kuota.
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Matumizi ya kiuagugu kwenye mikorosho
    (Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), 2025) Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)
    Jinsi ya kudhibiti magugu wakati wa kuanzisha shamba inashauriwa kuchimba visiki na vichaka vyote. Changanya mazao ya msimu katika shamba la Mikorosho hadi pale Mikorosho itakapo songamana. Fanya palizi ya shamba la Mikorosho kwa kulima kwa jembe la mkono, trekta au fyeka kwa kutumia panga au zana zozote.
  • Loading...
    Thumbnail Image
    Item
    Ujue ugonjwa wa mnyauko wa mikorosho.
    (Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), 2025) Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)
    Utangulizi Ugonjwa huu ulifahamika rasmi kwa mara ya kwanza mwaka 2012 katika Kijiji cha Magawa, Wilaya ya Mkuranga katikaMkoa wa Pwani. Mwaka 2014 ugonjwa ulionekana katika Kata za Nanganga na Nangoo Wilayani Masasi na Mnongodikatika Wilaya ya Mtwara Vijijini. llipofika mwaka 2015 Ugonjwa ulionekana kushambulia mikorosho katika Kijiji chaTandika, Kata ya Dinduma Wilayani Tandahimba. Ugonjwa huu pia umetolewa taarifa kuwa upo katika baadhi ya sehemu za Mkoa wa Ruvuma.

DSpace software copyright © 2002-2026 LYRASIS

  • Cookie settings
  • Privacy policy
  • End User Agreement
  • Send Feedback