Ujue ugonjwa wa mnyauko wa mikorosho.

Loading...
Thumbnail Image

Date

2025

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)

Abstract

Utangulizi Ugonjwa huu ulifahamika rasmi kwa mara ya kwanza mwaka 2012 katika Kijiji cha Magawa, Wilaya ya Mkuranga katikaMkoa wa Pwani. Mwaka 2014 ugonjwa ulionekana katika Kata za Nanganga na Nangoo Wilayani Masasi na Mnongodikatika Wilaya ya Mtwara Vijijini. llipofika mwaka 2015 Ugonjwa ulionekana kushambulia mikorosho katika Kijiji chaTandika, Kata ya Dinduma Wilayani Tandahimba. Ugonjwa huu pia umetolewa taarifa kuwa upo katika baadhi ya sehemu za Mkoa wa Ruvuma.

Description

Kipeperushi

Keywords

Mikorosho, Ugonjwa wa mikorosho

Citation

Collections