Mkulima
Permanent URI for this community
Browse
Browsing Mkulima by Subject "Abelmoschus esculentus"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Kilimo bora cha Bamia.(Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo, 2016)Bamia ni zao la mbogamboga linalotambulika kitaalamu kama Abelmoschus esculentus lenye asili ya Ethipia na Afrika ya magharibi. Kwa sasa zao hili linalimwa katika nchi nyingi hasa sehemu za joto. Baadhi ya maeneo yanayolima zao la bamia kwa Tanzania ni pamoja na mikoa ya Morogoro, Dodoma, Tabora, Pwani na Mbeya