Kilimo cha mbaazi za muda mrefu
Date
2025
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Mradi wa IFAD
Abstract
Mbaazi ni zao la jamii kubwa ya mazao aina ya mikunde, faida zake kubwa ni chanzo cha viini lishe vya protini kwa binadamu na wanyama, linavumilia ukame, hupunguza umasikini kwani zao hili ni chanzo cha mapato kwa kaya, hurutubisha udongo kwani katika kilima kwake linaweza kuchanganywa na mazao mengine shambani kama vile mahindi na mtama.
Description
Kipeperushi
Keywords
Mbaazi