Njia bora za kutekeleza na kukabiliana na mabadiliko tabia nchi katika thamani ya soko la nafaka
Loading...
Date
2020
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Easter Africa Grain Council - EAGC
Abstract
Kuhakikisha uwepo wa chakula cha kutosha Afrika mashariki, IGAD na ICPAC wamekuwa wakifanya usimamizi wa uzalishaji wa mazao ya nafaka. EAGC kama mdau mkubwa wa ICPAC wamekuwa na mchango mkubwa katika kutoa taarifa za hali ya soko la mazao kupitia taasisi yake ya kikanda ya kilimo, biashara na usalama wa chakula ya (RATIN) kupitia machapisho yao, wadau wa ongezeko la thamani la nafaka wanapata taarifa za kila wiki, mwezi na msimu mzima kuhusiana na utabiri wa hali ya hewa na usalama wa chakula.
Description
Jarida
Keywords
Nafaka, Soko la nafaka, Uzalishaji wa nafaka