Dhibiti ugonjwa wa Ubwiri unga wa Mikorosho kwa kutumia kiuatilifu cha maji.

Loading...
Thumbnail Image

Date

2025

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

TARI

Abstract

Moja ya matatizo makubwa ya uzalishaji wa zaola korosho ni ugonjwa wa Ubwiri unga, ambaoumeenea katika mikoa yote Tanzania. Ugonjwa huo husababishwa na vimelea aina ya kuvu nahuweza kupunguza mavuno kwa zaidi ya asilimia 70.

Description

Keywords

Citation

Collections