Kilimo bora cha Mbaazi za muda mfupi.

Loading...
Thumbnail Image

Date

2025

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

INTERNATIONAL FUNDER FOR AGRICULTURAL DEVELOPMENT (IFAD)

Abstract

Mbaazi za muda mfupi hukomaa kati ya siku 120 hadi 125 katika maeneo ya Morogoro, Tanga, Pwani, Mtwara na Dar-es-salaam. Katika ukanda wa juu kwenye baridi, mbaazi za muda mfupi hukomaa kwa muda mrefu zaidi ya siku 120. Mbaazi za asili hukomaa kati ya siku 210 hadi 270. Mbaazi za muda mfupi hutoa mavuno mengi zaidi ya zile za asili iwapo zitalimwa kwa kuzingatia maelezo ya kitaalamu.

Description

Keywords

Citation