Kidukari njano wa Miwa
Loading...
Date
2024-10
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
TARI
Abstract
Wadudu hawa hushambulia mpunga, mtama, ngano, mahindi, michaichai na miwa. Husababisha madhara kwa kufyonza majimaji kwenye majani na kuyafanya kuwa na rangi ya zambarau, nyekundu au njano, hivyo kupunguza uwezo wa mmea kuzalisha sukari na hatimaye mmea kudhoofika.