Kitabu cha mafunzo cha mbinu za kilimo hai za uzalishaji wa mazao ya msimu

Loading...
Thumbnail Image

Date

2019-11-06

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Suistanable Agriculture Tanzania - SAT

Abstract

Kitini hiki cha “Mbinu za kilimo hai za uzalishaji wa mazao ya msimu” ambacho kimezungumzia kwa undani juu ya uzalishaji wa karanga, alizeti, korosho, choroko, njugu, mahindi, mtama na muhomo kimeandaliwa na shirika la SWISSAID Tanzania kwa ushirikiano na Kilimo Endelevu Tanzania (SAT – Sustainable Agriculture Tanzania). Kitini hiki kimepitiwa na kuidhinishwa na wawakilishi wa Ofisi ya Kilimo ya Mkoa wa Mtwara, Ministry of Agriculture Training Institute (MATI) Naliendele, Sustainable Agriculture Tanzania (SAT), Tanzania Organic Agriculture Movement (TOAM), Tanzania Alliance for Biodiversity (TABIO), Tanzania Official Seed Certification Institute (TOSCI-Mtwara), Shirika la Uhifadhi Misitu Asilia Tanzania (TFCG), wawakilishi wa wakulima na SWISSAID Tanzania katika warsha iliyofanyika tarehe 25 – 27 September 2019 katika Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara. Pia, msaada wa kifedha kutoka Ubalozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Liechtenstein Development Service (LED) na Swiss Agency for Development and Cooperation (SDC) umefanikisha kwa kiwango kikubwa katika kugharamia uandaaji, kupitia na kukamilisha uchapishaji wa kitini hiki.

Description

Keywords

Karanga, Alizeti, Korosho, Choroko, Njugu, Mahindi, Mtama, Muhogo

Citation

Collections