Kilimo bora cha zao la mkonge
Loading...
Date
2022
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)
Abstract
Mkonge ni zao linalostahimili sana ukame, ma-
gonjwa, na wadudu waharibifu. Hivyo mkonge
unahitaji pembejeo chache kuliko mazao men-
gine katika uzalishaji. Mkonge hustawi kuanzia
usawa wa bahari Mita 0 - 750 na kwenye mae-
neo yenye mvua kiasi cha Milimita 500 - 1200
kwa mwaka.
Description
Kipeperushi
Keywords
mkonge wa asili, mkonge chotara, mkonge