Kiliko cha Pilipili Mtama
Loading...
Date
2022
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Wizara ya kilimo na Chakula, Tanzania
Abstract
Pilipili mtama ni zao ambalo asili yake ni Mashariki ya Mbali, na linalimwa zaidi katika mkoa wa Tanga na Zanzibar. Matumizi Pilipili nyeusi na nyeupe zote hutumika kwa mapishi ya nyama, samaki na kwa mapishi mengine mbalimbali
Description
Keywords
Pilipili mtama, Pilipili manga, Viungo